Marioo (Tanzania)

Nairobi

Marioo (Tanzania)

Cifras para Teclado Nível iniciante nível iniciante
Anúncio
Simple chord progression C G D Em 


[Verso 1]
C G Nilikutana nae kilimani Nairobi D Em Elfu mbili na kumi na tano C G D Em Kibaridi cha asubuhi kijua flani sio kikali saa tano C G D Em Ooh, Nairobi, elfu mbili na kumi na tano, oh C G D Em Nikamchagua yeye katikati ya wenzake watano C G Ah, nikamuomba akaniomba namba D Em Moyoni mwangu nikampa moja C G D Em She's my number, ah, number, ah moja C G Nikamuomba akaniomba namba D Em Moyoni mwangu nikampa moja C G D Em Now she's my number, ah, number, ah, moja
[Refrão]
C G D Yani namaanisha kwamba Em C G D Em Ndio tushaoana C G D Em Tushaoana C G D Em Ndio tushaoana C G D Em Ndio tushaoana
[Verso 2]
C G Tulipatana Bongo Mikocheni D Em Niko zangu beach nala upepo wa bahari C G Alinipita kama meli D Em Anayumbayumba akidondosa kishenzi C G D Em Ooh, Mikocheni nikamfata utadhani zombie C G Habari gani mbona uko lonely D Em Jina ni gani akasema Zari C G Nikamwambia aje (aje) C Em Nikamwambia kwangu ni kwake C G Nimshike wapi ndo aje D Em Nataka moyo wangu uwe wake C G Watangoja sana D Em Wakidhania tutaachana C G Mi' na yeye tumeshaivana D Em Naichapa usiku na mchana Aiyaiyayah, aah
[Refrão]
C G D Yani namaanisha kwamba Em C G D Em Ndio tushaoana C G D Em Tushaoana C G D Em Ndio tushaoana C G D Em Ndio tushaoana

Enviado por: Paulo Rocha Antunes

Corrigido por: sem correções

Anúncio